Mfumo wa Mauzo na Hesabu

Mfumo wa Kisasa Kwaajili ya Mauzo na Hesabu

Dhibiti biashara yako kwa urahisi. Mauzo, Hesabu, Ripoti - yote katika sehemu moja iliofungwa na AI ya Kiswahili.

Monthly Growth
+24.8%
Mauzo Leo
TSh 450,000
12% tangu jana
Duka la Lako
Online
Daily Revenue
TSh 1.2M
Total Orders
342
Stock Value
TSh 45.8M
Net Profit
+18.5%
Performance Excellent
Vipengele Muhimu

Kila Kitu Unachohitaji

DUKAIO imejengwa kukusaidia kukuza biashara yako bila maumivu ya kichwa.

Ripoti & Uchambuzi

Pata picha kamili ya mwenendo wa biashara yako. Jua faida, hasara, na bidhaa zinazotoka kwa kasi.

Udhibiti wa Stock

Fuatilia bidhaa zako kwa urahisi. Pokea taarifa stock inapoisha na udhibiti upotevu.

Taarifa za Papo Hapo

Pata notification za mauzo, stock, na ripoti muhimu moja kwa moja kwenye simu yako.

Gharama Nafuu

Chagua Mpango Wako

Anza na kifurushi kinachoendana na bajeti yako. Hakuna gharama za ziada.

Anza Hapa

Free Trial

BURE Siku 7

Jaribu mfumo wote bila malipo

  • Vipengele vyote vimefunguliwa
  • Hakuna malipo ya kuanza
  • Inafaa kujaribu kabla ya kulipia
  • Ukimaliza trial utaelekezwa renew
Fungua Trial Bure

Mwezi

8,000/= Tsh

Kifurushi cha mwezi mmoja

  • Usimamizi wa Stoo
  • Mauzo (POS)
  • Ripoti za Kila Siku
  • Msaada wa Kiufundi
Anza Trial Kwanza
Inapendwa Zaidi

Miezi 6

40,000/= Tsh

Okoa Tsh 8,000

  • Access Miezi 6
  • Vipengele Vyote
  • Backup ya Data
  • Maboresho ya Bure
Anza Trial Kwanza
Hadi 17% Punguzo

Mwaka

80,000/= Tsh

Okoa Tsh 16,000

  • Access Miezi 12
  • Usaidizi wa Kipaumbele
  • Custom Reports
  • Mafunzo ya Mfumo
Anza Trial Kwanza
Jifunze

Angalia Jinsi Inavyofanya Kazi

Video fupi inayoonesha jinsi ya kutumia mfumo wa DUKAIO.

Video coming soon