Sera ya Refund
Ukurasa huu unaeleza masharti ya kurudishiwa malipo kwa huduma za DUKAIO baada ya usajili au renewal.
Refund inaombwa ndani ya saa 48 tangu huduma yako kuanza au renewal kuthibitishwa. Baada ya hapo, malipo
hayawezi kurudishwa isipokuwa ikipelekwa tofauti kwa maandishi na DUKAIO.
1. Nani Anaweza Kuomba Refund
Mteja anaweza kuomba refund ikiwa malipo yalitumwa kwa makosa, yalirudiwa mara mbili, au huduma haikupatikana kama ilivyoelezwa na DUKAIO ndani ya muda wa saa 48 Maximum.
2. Vitu Visivyorefundishwa
- Malipo yaliyozidi muda wa saa 48 tangu huduma ianze.
- Huduma iliyotumika kwa kipindi kikubwa baada ya kuamilishwa.
- Makosa yaliyosababishwa na taarifa zisizo sahihi zilizowekwa na mtumiaji.
3. Jinsi ya Kuomba Refund
Tuma maombi yako kwa barua pepe au WhatsApp ukitaja jina la akaunti, namba ya simu, tarehe ya malipo, na ushahidi wa muamala ili timu yetu iweze kukagua.
4. Muda wa Majibu
Tutajitahidi kujibu ndani ya siku 2 hadi 5 za kazi baada ya kupokea maombi kamili ya refund.
5. Mawasiliano
Kwa maswali ya refund, wasiliana nasi kupitia dev@mohamedsinani.com au WhatsApp +255 763 364 721.