Vigezo na Masharti
Karibu DUKAIO. Kwa kutumia mfumo wetu, unakubaliana na vigezo na masharti haya. Tafadhali yasome kwa umakini.
1. Matumizi ya Mfumo
DUKAIO inatoa huduma ya usimamizi wa mauzo na stoo. Unawajibika kwa usalama wa akaunti yako na taarifa zote zinazowekwa kwenye mfumo kupitia akaunti hiyo.
2. Malipo na Usajili
Huduma zetu hutolewa kwa mfumo wa usajili (Subscription). Huduma itaanza kufanya kazi mara tu baada ya malipo kuhakikiwa na msimamizi.
3. Sera ya Kurudisha Malipo (Refund Policy)
Ili kuomba kurudishiwa malipo ndani ya muda uliopangwa, wasiliana na huduma kwa wateja kupitia dev@mohamedsinani.com ukieleza sababu ya ombi lako.
4. Faragha ya Data
Tunachukulia usalama wa data zako kwa uzito mkubwa. Pata maelezo zaidi kwenye sera yetu ya faragha.
5. Mabadiliko ya Vigezo
DUKAIO ina haki ya kubadilisha vigezo hivi wakati wowote. Mabadiliko yataanza kufanya kazi mara tu yatakapowekwa kwenye tovuti hii.